Thursday, April 24, 2014
Monday, April 21, 2014
WEMA SEPETU ASHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL, WEUSI, WANAUME FAMILY WAFUNIKA SHOO YA PASAKA DAR LIVE
Sunday, April 20, 2014
MASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAANZA MKOANI MBEYA
Mshiriki wa Tanzania Movie Talents akihojiwa mara baada ya kumaliza usaili katika Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo Soko Matola Mkoani Mbeya
Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwaajili ya kuhudhuria usaili wa Shindano la Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa usaili.
Washiriki waliojitokeza kwaajili ya kushiriki mashindano yya Tanzania Movie Talents wakijaza fomu kwaajili ya usaili wa shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea Mkoani Mbeya ikiwa unawakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mkoani Mbeya wakisubiri shindano la Tanzania Movie Talents kuanza.
Kundi la Kwanza La vijana waliojitokeza kwaajili ya usaili wa Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea mkoani Mbeya muda huu.Picha na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited - Mbeya
Hatimaye Shindano la Tanzania Movie Talents limeanza rasmi leo katika Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ambapo usaili huo unafanyika Mkoani Mbeya Katika Ukumbi wa Benjamini Mkapa uliopo Soko Matola Mkoani Mbeya.
Mpaka sasa Washiriki wapatao 150 wamejitokeza kwaajili ya kushiriki shindano hili la Tanzania Movie Talents ambapo washindi watatu kutoka kanda ya Nyanda za Juu Kusini watazawadiwa kitita cha Shilingi laki tano za Kitanzania na Baadae kupewa Tiketi ya Kuelekea Mkoani Dar Es Salaam kwaajili ya kushiriki fainali itakayowakutanisha Washindi waliopatikana katika Kanda ya Ziwa, Kati na kanda zilizobakia za Pwani na Kaskazini na mshindi katika fainali hiyo atajinyakulia Kitita Cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania pamoja na Mikataba minono kutoka Kampuni ya Proin
Promotions Limited na washindi kumi katika fainali hizo watakuwa chini ya kampuni ya Proin Promotions Limited na kuweza kutengeneza filamu ya Pamoja ambapo watanufaika na Mauzo ya filamu yao.
Promotions Limited na washindi kumi katika fainali hizo watakuwa chini ya kampuni ya Proin Promotions Limited na kuweza kutengeneza filamu ya Pamoja ambapo watanufaika na Mauzo ya filamu yao.
Mashindano ya Tanzania Movie Talents yataendelea Mkoani Mbeya kwa Siku nne ambapo siku ya jumanne washindi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini watapatikana na kupewa Zawadi zao.
MIYEYUSHO HOI CHEKA ATOKA SARE
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe'
kulia akiendelea kumwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao
uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam
King class alishinda kwa pointi mpambano huo
Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana
umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati
wa mpambano wao uliofanyika PTA Sabasaba King Class alishinda kwa Point
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa
Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba
April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano
huo picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
FURAHA YA USHINDI
KING CLASS MAWE AKIOJIWA BAADA YA KUIBUKA MSHINDI
KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad
Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa
uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano
huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point

Bondia
Sukkasem
Kietyongyuth
kutoka Thailand kulia akiwa amemkalisha bondia fransic
Miyeyusho katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na
kufanikiwa kwshinda kwa K,O
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na Bondia
Sukkasem
Kietyongyuth
kutoka Thailand miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na Bondia
Sukkasem
Kietyongyuth
kutoka Thailand miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma