Wachezaji wa timu ya taifa ya POOL watakaokwenda nchini UFARANSA
Kocha wa timu ya taifa ya POOL DENIS LUNGU kushoto akifuatiwa na VIOLETY MREMA mchezaji wa POOL na meneja wa bia ya safari FIMBO BUTALLA
INNO mratibu wa mashindano ya pool na timu ya taifa .
Kikosi cha timu ya taifa cha mchezo wa POOL chenye wachezaji SABA kimetangazwa na kocha DENIS LUNGU kwa ajili ya kwenda nchini UFARANSA kushiriki mashindano ya DUNIA yanayotarajia kufanyika mwezi November mwaka huu .
Kikosi hicho kinatarajia kuondoka nchini jumamosi wiki ijayo
0 maoni:
Post a Comment