Monday, October 25, 2010

WABUNIFU WA MAVAZI KUTOA ELIMU YA MALARIA KUPITIA MAONYESHO

Anna McCartney-Melstad (L), three designers showacasing ideas from Malaria Haikubaliki campaign(Middle) and Fauziyat Abood, during the press conference at RSVP Much More, Dar es Salaam.
Press conference at RSVP Much More where Co-founder of MTOKO designs discusses with a journalist about their designs for Malaria Hikubaliki being shown at Swahili Fashion Week 2010.
Wabunifu wa mavazi nchini wameendaa onesho maalumu la mavazi kwa lengo la kutoa elimu ya kupambana na ugonjwa wa maralia litakalofanyika Novemba 4 katika ukumbi wa Karimjee jijini DSM

Meneja wa habari na usuluhishi wa kampuni ya Voice TWO, Faudhia Ismail Kaboul amesema huu ni mwendelezo wa kampeni za kupiga vita maralia zilizoanzia katika mchezo wa mpira wa miguu muziki na sasa ziko katika ubunifu wa mavazi.

Miongoni mwa wabunifu watakaonyesha mavazi yao ni pamoja na Diana Magesa toka Morogoro anayetumia  mavazi ya vitu vya asili, SALIMU ALLY wa Mtoko Designers, pamoja na Fransisca Shirima anayetumia rangi za nembo ya maralia haikubaliki katika ubunifu wake wa mavazi.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU