waamuzi wa soka wakipigwa msasa kabla ya mashindano ya CECAFA
Baraza la vyama vya michezo kwa nchi za Afrika mashariki na kati (CECAFA) limeendela kuendesha mafunzo kwa waamuzi wa michuano ya CHALLENGE kwa nchi inayotarajia kuanza NOVEMBA 27 jijini DSM
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ambaye ni mwamuzi mkongwe hapa nchini Omar Abdulkadir, amesema semina hiyo inasaidia katika kuwakumbusha waamuzi majukumu yao hatua itakayoifanya michuano hiyo kuvutia zaidi
soka na hivyo kulitaka shirikisho la soka nchini TFF kuwapa fursa ya kuhudhuria michezo yote ya CHALLENGE ili wajifunze kutoka kwa waamuzi wa kimataifa.
Kwa mujibu wa CECAFA, mafunzo hayo yataendelea kila siku hadi mwisho wa michuano hiyo na yanaendeshwa na wakufunzi wenye kutambuliwa na shirikisho la soka Duniani FIFA.
0 maoni:
Post a Comment