Thursday, November 4, 2010

KOCHA WA YANGA KUTIMUKA JUMATATU WIKI IJAYO KWA AJILI YA MAPUNZIKO

PAPIC KOCHA WA YANGA .

Kocha wa YANGA PAPIC huenda akaondoka nchini jumatatu wiki ijayo na  kurudi nyumbani kwao serbia baada ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu TANZANIA BAR kumalizika jumamosi wiki hii.
Habari kutoka katika klabu ya YANGA zinasema PAPIC huenda asirudi tena nchini baada ya viongozi wa YANGA kushindwa kusaini mkataba na kocha huyo.
Timu ya YANGA ambayo ilianza vizuri ligi kuu TANZANIA BARA imeanza kufanya vibaya  baada ya kutosa sare mechi tatu na kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu TANZANIA BAR



0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU