Sunday, November 14, 2010

MKUU WA MKOA WA MWANZA AKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA BAISKELI

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro, akimkabidhi  Omary Matangajo kitita cha shilingi  400,000 mara baada kuibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaume walemavu katika mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge
. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi shilingi 250,000 Sayuda Pigi mara baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya mbio za Vodacom Mwanza cycle Challenge kwa upande wa wanaume walemavu
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi Helena Mwendesha shilingi 400,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake walemavu katika mashindano  ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wadhamini waliodhamini  mashindano ya mbio za baiskeli za  Vodacom Mwanza Cycle Challenge ,Knight support,Pepsi,Alphatel
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro akimkabidhi Sophia Adson kitita cha shilingi 1,100,000(1.1) mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge kwa upande wa wanawake
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi Hamis Clement kitita cha shilingi Ml 1,500,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi Richard Laizer   shilingi 700,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa pili  katika mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge,katikati ni Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU