Monday, November 1, 2010

RAGE MAMBO SAFIIIIIIIIIIIIII KAKAMATA KITI TABORA MJINI

Mbunge wa TABORA MJINI mwenyekiti wa SIMBA RAGE .
Mwenyekiti wa SIMBA ISMAIL ADEN RAGE amenyakua kiti cha ubunge kupitia chama cha mapinduzi katika jimbo la TABORA MJINI

1 maoni:

emu-three said...

Hongera zake, kwani katoka mbali na inaonyesha ana uchungu kabisa na nchi yake!

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU