Bondia RASHID MATUMLA akitambiana na bondia wa UAGANDA MED SEBYELA
Bondia wa UGANDA akipima uzito MED SEBYELA
RASHID MATUMLA akipima uzito
Bondia kutoka UGANDA MED SEBYELA atapambana na bondi RASHID MATUMLA katika pambano lisilo na ubingwa jumatano wiki hii katika ukumbi wa PTA SABASABA.
RASHID amesema baada ya kutangaza kwa makosa kuwa amestaafu ngumi sasa amerudi na ameahidi kumpiga kwa mpinzani wake .
0 maoni:
Post a Comment