kushoto ni mdhamini mkuu wa shindano la kisura kutoka family health international akifuatiwa na mwanzilishi wa shindano kutoka kampuni ya beautiful Tanzanie Agency JULIANA URIO akifutiwa na mratibu pamoja kisura wa mwaka jana DIANA IBRAHIMU
kisura wa mwaka jana DIANA IBRAHAM kulia wakati wa mkutano na waandishi wa habariJULIANA URIO akiwa na mdhamini mkuu wa kisura kutoka Family Hearth
Mchakato wa kumpata kisura wa TANZANIA mwaka 2011 unatarajia kuanza mwezi DESEMBER 11 mwaka huu mkoani MWANZA huu ukiwa ni mwaka wa tatu tangu mradi huu ulipoanza mwaka 2007.
Kwa mujibu wa mwenyejiti na mwanzilishi wa kampuni ya Beautiful Tanzania Agency BTA JULIANA URIO hutua ya kwanza ya mchakato huo,mbali na mkoa wa MWANZA paia itahusisha mikoa ya MARA,KEGERA ,SHINYANGA,TABORA na DSM.
Hatua ya pili itahusisha mikoani ya ARUSHA,KARATU,na DOFOMA wakati mikoa ya IRINGA, MBEYA na SONGEA ikihusisha katika hatua ya tatu.
MCHUJO wa wasichana wa MWANZA utafanyika DESEMBER 11 HADI 12 katika hotel ya stone towan na Mwanza Hotel kabla ya kuhamia MUSOMA,MARA kuanzia DESEMBER 13 HADI 14 katika hotel ya MATIVILA.
Desember 15 itakuwa ni zamu ya wasichana wa mkoani KAGERA ambapo mchujo na usaili vitafanyika kwa siku moja na DESEMBAR 16 timu ya BTA itaelekea mkoani SHINYANGA kwa ajili ya kuendelea na mchujo katika hotel ya IBAZA .
DESEMBER 17 timu ya BTA itaelekea mkoani TABORA kuendelea na mchujo na usaili huo utafanyika katika ukumbi wa ROYAL CLUB na baada ya hapo msafara huo utarejea DSM kwa ajili ya mchujo wa usaili utakaofanyika kwa siku mbili DESEMBER 19 HADI 20 siku ambayo ndiyo mwisho wa hatua ya kwanza ya mchakato huo.
0 maoni:
Post a Comment