Tuesday, November 23, 2010

WATANZANIA WATAKIWA KUPANDA MLIMA KILIMAJARO KWA FAIDA YA NCHI

Katikati ni GENERAL GEORGE WAITARA akizungumza na waandishi wa habari.
                       
Wafanyakazi wa ITV katikati ESTER SANGAI pamoja na JOHN LUGENDO kulia na kushoto JIMY TARA wakati wa mkutano na aliyekuwa mkuu wa majeshi nchini GENERAL WAITARA 

Jeshi la wanachi wa Tanzania JWTZ limetangaza kampeni yake endelevu ya kuutangaza mlima Kilimanjaro ndani na nje ya nchi kwa kuupanda mlima huo mwezi ujao.

 WAITARA ameongoze kusema kwamba iwapo mlima Kilimanjaro utafahamika kitaifa na kimataifa kama kivutio cha utalii wa ndani basi ni wazi watalii wataongezeka na kuliingizi taifa fedha nyingi za kingene kuliko ilivyo sasa.

Hii itakuwa ni mara ta tatu kwa  Jeshi la wanachi wa Tanzania JWTZ kuongoza kampeni ya kuupanda mlima Kilimanjaro tangu walipozindua zoezi hilo mwaka 2008.

                                                         

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU