MKURUGENZI MAFUNZO YA UALIMU ROSE MASSENGA
Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali kutoka nchini FINLAND liitwalo LIIKE linatekeleza mradi wa kuboresha Elimu kwa michezo kwenye vyuo vya ualimu nchini tangu Agosti 2009 mafunzo hayo yanatolewa kwa wanachuo wa vyuo vya ualimu 11 na yapo katika ngazi ya cheti na stashahada ya Elimu kwa michezo .
Lengo la mradi huu ni kupata walimu wenye uwezo na sifa za kufundisha somo la Elimu kwa michezo katika shule za msingi,sekondari na vyuo vya ualimu hapa nchini .Kwa kuanza mradi huo unalenga kuandaa walimu 300 kwa mwaka kwa miaka mitatu ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati endelevu baada ya kipindi cha mradi
0 maoni:
Post a Comment