Hapa ulingoni kazi inaendelea
MATOKEO ya majaji wawili kati ya watatu yaliyomuwezesha bondia RASHID MATUMLA kushinda pambano dhidi ya bondia kutoka UGANDA, MED SEBYELA lililofanyika usiku katika ukumbi wa PTA SABABA jijini DSM yameonekana kuwa na utata baada ya kutangazwa kuwa MATUMLA ameshinda.
0 maoni:
Post a Comment