Katibu mkuu wa BFT MASHAGA MAKORE .
Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini BFT limerudishiwa uwananachama wake na shirikisho la ngumi za ridhaa DUNIANI AIBA baada y kufutiwa uwanachama kutokana na shirikisho lilopita kukumbwa na kashifa ya madawa ya kulevya.
MASHAGA amesema kamati ya utendaji ya AIBA ilikaa na kuamaua kukubari ombi la BFT kutaka kurudishiwa uwanachama ili kuweza kushiriki vyema katika mashindano mbalimbali ya kimataifa
0 maoni:
Post a Comment