Kamati ya ufundi ya klabu ya YANGA ya jijini DSM imemfungulia mchezaji MOHAMED MBEGU aliyefungiwa kusakata soka kwa kosa la utovu wa nidhamu.
Msemaji wa YANGA, LUIS SENDEU amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kupokea barua ya kuomba msamaha kutoka kwa mchezaji huyo ambapo pia kamati hiyo imezingatia mwenendo wa kitabia wa mchezaji huyo
0 maoni:
Post a Comment