Sunday, December 12, 2010

TFF YAMTANGAZA WAMBURA KUWA MSEMAJI WA TFF

BONIFACE WAMBURA MSEMAJI MPYA WA TFF .

Kamati ya utendaji ya shirikisho la soka nchini TFF imemtangaza WAMBURA kuwa msemaji wa TFF mara baada ya kupitishwa na kamati ya utendaji.
Wambura amechukua nafasi ya aliyekuwa msemaji KAIJAGE aliyesimamishwa kazi kutokana na kushindwa kufanya kazi yake kama ilivyotakiwa wakati wa mchezo kati ya TANZANIA na MOROCCO ambapo wimbo wa taifa ulikosekani siku ya mchezo huo


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU