Sunday, December 12, 2010

ANGETILE OSEAH AWA KATIBU MKUU TFF

ANGETILE OSEAH KATIBU MKUU WA TFF 
Kamati ya utendaji ya TFF imemtangaza ANGETILE OSEAH kuwa katibu mkuu wa TFF mara baada ya kuomba nafasi hiyo .

Akizungumza Jijini DSM OSEAH amesema amefurahi kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa TFF hivyo nafasi aliyoipata ataitumia kwa faida ya wananchi ili maendeleo yaweze kupatikana na kuendeleza soka nchini.

Amesema ni changamoto nyingi zinamkabili pindi atakapokuwa katika kazi yake lakini yupo tayari kukabiliana nazo,ANGETILE anategemia kuanza kazi mapema mwezi wa kwanza

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU