Sunday, December 12, 2010

WASANII WA TUSKER PROJECT FAME WATUMBUIZA KATIKA UWANJA WA TAIFA KABLA YA FAINALI

MSECHU akipozi na mshindi wa nne kutoka KENYA pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa TUSKER 
                                   Jamani hapa nilikuwa nawapa kampani tu katika uwanja wa taifa jijini DSM            
                               Mshindi wa kwanza kulia pamoja na mshindi wa nne wa TUSKER PROJECT FAME
                 Wasanii wa TUSKER PROJECT FAMEwalipotumbuiza katika uwanja wa TAIFA Jijini DSM
                                        PHILIP akimhoji PETER MSECHU

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU