Mwanamuziki mkongwe nchini mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya CONGO DRC, RAMADHAN MTORO ONGALA maarufu Dokta REMMY amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Mmoja wa wanamuziki ambaye amewahi kuimba bendi moja na ONGALA, TSHIMANGA KALALA ASOSA amesema Dokta REMY amefariki dunia saa sita usiku baada ya kuugua ugonjwa wa kiharusi.
0 maoni:
Post a Comment