Friday, December 3, 2010

TIMU YA NETIBOLI YAONDOKA NCHINI YAENDA SINGAPORE KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA

                               KIKOSI CHA NETIBOLI pamoja na viongozi wa CHANETA
                                  Baadhi ya wachezaji wakifurahi
                   Mwenyekiti wa CHANETA ANNA BAYI pamoja na mwamuzi wa netiboli wakiwa uwanja wa ndege tayari kwa safari ya SINGAPORE
                        Katibu msaidizi wa chama cha netiboli ROSE MKISI akiiaga timu ya taifa ya netiboli uwanja wa ndege Jijini DSM.

Timu ya TAIFA ya NETIBOLI imeondoka nchini   kuelekea SINGAPORE ambapo timu hiyo itashiriki katika mashindano yanayojumuisha nchi sita.

Wakizunguzma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa MWALIMU JULISU NYERERE,nahodha wa timu hiyo JACKLINE SIKOZI na kocha wa timu SIMONE MICKINNIS wamesema kuwa wamefanya maandalizi ya kutosha.

Hata hivyo kocha MICKINNIS amesema kuwa timu watakazoshiriki nazo zinauzoefu mkubwa ziko katika viwango vya juuu ya mchezo huo, lakini anaamini kuwa watafanya vyema na hatimaye kupanda katika mchezo huo.

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 5  hadi 12 mwezi huuu na timu hiyo itarejea nchini tarehe 14.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU