BABY MADAHA akiwa na msanii JACK wakati wa uzinduzi wa filimu ya NUMBER FORTY FOUR ,BABY ni mmoja wa washiriki katika filamu hiyo
                                      Baadhi ya washiriki wa filamu wakati wa uzinduzi                                  Miss TANZANIA mwaka jana MIRIAM alimsindikiza mchumba wake ambaye naye ameshiriki katika filamu hiyo
                                                    Hao nao walisindikiza rafiki zaoFilamu ya HOUSE NUMBER FORTY FOUR iliyowashirikisha wasanii wa filamu wa Tanzania imezinduliwa rasmi Jijini DSM



 
 
 
 
 
 
 


0 maoni:
Post a Comment