Friday, January 7, 2011

HATUA YA PILI YA LIGI KUU TANZANIA BARA KUANZA JANUARI 15 MWAKA HUU

Msemaji wa TFF MICHAEL WAMBURA amesema ratiba hiyo imezingatia pia maandalizi ya timu ya TAIFA TAIFA STARS kwa ajili ya mechi ya mchujo wa kombe mataifa ya AFRIKA dhidi ya Jamhuri ya AFRIKA ya kati itakayochezwa nchini Machi 26 mwaka huu pamoja na mechi za kirafiki za shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu FIFA

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU