Friday, January 7, 2011

MISS PROGRESS INTERNATION JULIETH WILLIAM ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA PRECISION AIR

                    MISS PROGRESS JULIETH WILLIAM akipokea mkataba kutoka kwa mkurugenzi wa biashara wa precision air PHIL MWAKITAWA
                                Hapa MISS PROGRESS JULIETH WILLIAM wa pili kushote pamoja na mkurugenzi masoko wa precision air phil na RWEJUNA wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba na kampuni hiyo ambayo miss huo atatumia usafiri wa ndege za precision kwenda katika sehemu ambazo anafuatilia mambo ya walemavu wa ngozi hapa nchini

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU