Kikundi cha Airtel yatosha kikitoa burudani katika barabara ya Old
bagamoyo wati wambapo wafanyakazi wote wa Airtel jijini Dar e salaam
waliposhikana mikono kuashiria kuboreshwa kwa huduma yao ya Airtel
Yatosha kwa wateja ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja
muda zaidi wa kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka
alipojiunga. Ili mteja kujiunga anatakiwa kupiga *149*99# , tukio hili
lilifanyika mwishoni mwa wiki katika barabara ya old bagamoyo.
Wakwanza ni muhamasishaji wa huduma ya Airtel Yatosha aliyevalia kijamii
ya maasai Bw Petro Abraham Lucas akiwa na Wafanyakazi wa
Airtel wakiwa wameshikana mikono kama ilivyo katika tangazo lao la
gazeti na televisheni kuashiria kuwa huduma ya Airtel Yatosha kifurushi
cha SIKU imeboreshwa na sasa ni masaa 25, ishara hiyo ilifanyika
mwishoni mwa wiki kwenye barabara ya Old Bagamoyo
Wafanyakazi wa Airtel toka vitengo mbalimbali wakiwa wamejipanga na
kushikana mikono kuashiria kuboreshwa kwa huduma yao ya Airtel Yatosha
kwa wateja ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja muda
zaidi wa kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka alipojiunga.
Ili mteja kujiunga anatakiwa kupiga *149*99# , tukio hili lilifanyika
mwishoni mwa wiki katika barabara ya old bagamoyo.
Mkuu wa kitengo cha Biashara mpya cha Airtel Bw, Godfrey Mugambi akiwa
na wafanyakazi wenzake wakiwa wameshikana mikono kuonyesha kweli Airtel
Yatosha
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania makao makuu Dar es salaam wakiingia
barabarani huku wameshikana mikono kwa maandamano ikiwa ni tukio maalum
la kuitambulisha TOSHA 24+1=25
Wafanyakazi wa Airtel kitengo cha huduma kwa wateja wakiongozwa na
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wakwanza Bi Adriana Liamba kushikana
mikono kuashiria kuboreshwa na kuitambulisha rasmi huduma yao ya Airtel
Yatosha kwa wateja ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja
muda zaidi wa kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka
alipojiunga.
0 maoni:
Post a Comment