Sunday, January 9, 2011

JESHI STARS YAIFUMUA NGOME YA JKT KATIKA LIGI YA MPIRA WA KIKAPU KWA KUIBUKA NA USHINDI WA VIKAPU 51 KWA 43

                                  Wachezaji wa JESHI STARS wakati wa mapunziko wakijaribu kurekebisha makosa na kufanikiwa kushinda mchezo dhidi ya JKT
                                Wachezaji wa timu ya kikapu ya JKT wakiwa hawaamini kilichotokea baada ya timu yao kufungwa na JESHI STARS
             Wakati wa mchezo JKT dhidi ya JESHI STARS maafande kwa maafande utapenda kuona mchezo huo,kwani katika mchezo huo JKT walikuwa wakiongoza lakini kabla ya kumalizika kwa mchezo dakika kumi JESHI walikuja juu na kuifumua ngombe ya JKT na hadi mwisho wa mchezo JESHI wakaibuka kwa ushindi wa pointi 51 kwa 43

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU