Friday, January 28, 2011

KOCHA MINZIRO AKALIA KUTI KAVU YANGA

Huenda uongozi wa YANGA ukavunja mkataba na kocha msaidizi wa YANGA FELIX MINZIRO iwapo watamkubalia kocha PAPIC achague kocha msaidizi anayemtaka .

Habari kutoka ndani zinasema YANGA wanatarajia kukaa na PAPIC ili arudi katika klabu hiyo baada ya PAPIC kuandika barua ya kuachana na timu hiyo.

PAPIC ambaye ametoa siku mbili kwa klabu YANGA kukaa pamoja lakini sharti la PAPIC ni kumpa nafasi ya kutafuta kocha msaidizi anayemtaka na si wa kuchaguliwa.


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU