Friday, January 14, 2011


Ratiba ya mechi za Jumamosi wiki hii za ligi kuu Tanzania bara.

Uwanja wa MKWAKWANI pale TANGA AZAM FC ni wenyeji wa KAGERA SUGAR.

Uwanja wa CCM KIRUMBA Jijini MWANZA TOTO AFRICAN WANAKISHA MAPANDA  wanawakaribisha POLISI TANZANIA.

Uwanja wa MAJI MAJI kule mjini SONGEA MAJI MAJI WANA-LIZOMBE wanaonyesha kazi na JKT RUVU.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU