Monday, January 10, 2011

SEMINA YA MAKOCHA WA NETIBOLI KUFANYIKA MKOANI MOROGORO

                                     Katibu msaidizi wa CHANETA ROSE MKISI akiwa ofisini kwake
                                            MKISI akiongea na waandishi wa habri
                                             Hapa anatoa kopi
                                          Katibu msaidizi wa CHANETA ROSE MKISI akitoa kopi habari .

Chama cha Netiboli Tanzania CHANETA kimeandaa semina ya makocha wa daraja la PILI inayotarajiwa kufanyika  FEBRUARY MBILI hadi KUMI NA TATU mjini MOROGORO.

  Kaimu katibu Mkuu wa CHANETA ROSE MKISI amewataka wale wote watakaopenda kushiriki katika semina hiyo kuthibitisha ushiriki wao mapema ambapo mwisho wa kuthibitisha  itakuwa ni  tarehe 20 mwezi huu.

Kwa mujibu wa MKISI ni kwamba wakufunzi wa semina hiyo watakuwa ni  MARY PROTAS na DAMIAN CHONYA.

Halikadhalika MKISI amesema mashindano ya ligi daraja la pili ngazi ya taifa yanatarajiwa kuanza  FEBRUARY 16 hadi 24 .

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU