Monday, January 10, 2011

MABONDIA WA JKT WAANZA KUJIFUA, KUJIANDAA NA KLABU BINGWA

                                    Mabondia wakimsikiliza kocha
                                    Kocha wa JKT BENJAMIN akiwa mazoezini na mabondia
Mabondia thelathini wa klabu za ngumi za jeshi la kujenga taifa jijini DSM wameanza mazoezi kwa ajili ya michuano ya klabu bingwa taifa inayotarajia kuanza FEBRUAR 26 jijini DSM.

Kocha wa timu hiyo BENJAMINI MWANGATA amesema katika mashindano ya mwaka huu wanatarajia kuingiza timu mbili ili kurejesha heshima ya majeshi katika mchezo wa masumbwi, ikiwa ni pamoja na kuchukua ubingwa huo

Mashindano ya klabu bingwa ya ngumi ya taifa yanashirikisha vilabu mbalimbali vya ngumi kutoka kila mkoa wa Tanzania bara huku yakiwa na lengo la kupata vipaji vipya kwa ajili ya timu ya taifa ya ngumi itakayoshiriki katika michuano ya kimataifa.


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU