Thursday, January 20, 2011

WANARIADHA WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO

                                     Mwanariadha MASUMBUKO akikabidhiwa vifaa vya michezo
                                                          SARAH akikabidhiwa vifaa vya michezo na NCHIMBI
wanariadha wataowakilisha nchi
Hapo jana Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo amekipazia sauti chama cha riadha Tanzania akiwaomba wadhamini binafsi kujitokeza kuusaidia mchezo huo.

Waziri NCHIMBI ametuma maombi haya kwa wadauwakati akikabidhi vifaa vya michezo kwa wanariadha wawili wa Tanzania watakaoshiriki kwenye mashindano ya riadha ya kimataifa yatakayofanyika huko BAMAKO MALI baadae mwezi huu.

Wanaridha watakaoiwakilisha TANZANIA ni SALAH KAVINA na MASHAKA MASUMBUKO.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU