Monday, February 28, 2011

                           Hapa wakimsubiri konda wa basi hilo atafute ufumbuzi wa kufika safari yao
                               Abiria wakiwa hawajui la kufanya baada ya basi kuharibika njiani
                   Katika kijiji ambacho basi la DAR EXPRESS lilipopata matatizo mbele kidogo ya CHALINZE kulekea KILIMANJARO
               Baada ya basi aina ya DAR EXPRESS kuharibika njia nikabaki nashangaa nje kidogo ya CHALINZE wakati wa kuelekea mkoani KILIMANJRO

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU