Mambo ya marathoni bio za mita tano
Siyo lazima ukimbie hata kutembea nako ni kazi
Hata watoto nao walikuwa wanakimbia na wazazi wao
hapa watu hoi
Wakati wa mbio wengine wanaendelea na kupiga picha sasa
Washindi wakiwa na fedha zao pamoja na medali
Washindi wa kwanza mpaka kumi wakiwa na mgeni rasmi waziri NCHIMBI
Mshindi wa mita 42 kutoka kenya
Watoto wakipangwa tayari kuanza mashindano
Huyu nae na mbwa wake kama kawaida kushindana
Mbwa na nae na namba yake
0 maoni:
Post a Comment