Monday, February 28, 2011

YANGA YARUDI KILELENI BAADA YA KUIFUNGA RUVU SHOOTING BAO 1-0

Timu ya YANGA imerejea kileleni baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya RUVU SHOOTING mchezo uliofanyika uwanja wa JAMHURI mkoani MOROGORO,bao la YANGA limefungwa dakika ya 78 na mchezaji JERRY TEGETE baada ya kuunganisha kwa kichwa kono ya ATHUMAN IDD

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU