Monday, February 28, 2011

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WAMETAKIWA KUTOJIHUSHISHA NA MIGOMO

Mgeni  rasmi  Deogrtios Mwanyika upande wa kulia akipokelewa na Deogrtios Filkunjombe kushoto na katikati ni bwana Dominick Haule mkurugenzi wa Sophiist Tanzania College ambaye ndiye mwendesha shughuli mc
Katibu chama cha wanavyuo kutoka ludewa MGIMBA KASSIANI akipeana mkono na mgeni rasmi bwana Deogratias Mwanyika (ceo barik mine)kushoto kwake ni mbunge wa ludewa Filkunjombe na mwenyekiti wa wawanafunzi wa chama cha wanavyuo kutoka ludewa.
 
 
 
 Wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu mbalimbali nchini toka katika wilaya ludewa
wameaswa kutokushiriki katika migomo wazingatie kilicho wapeleka hapo chuoni
ili wawe watumishi wazuri kataka kuendeleza wilaya yao hayo .

  Mbunge wao mh Deogratis Filikunjombe amesema hayo wakati wa tafrija ya kumpongeza na kuwa mbunge na kujadili maendeleo ya wilaya yao tafrija hiyo iliwakutanisha wana vyuo wote waludewa na ilifanyika ukumbi wa ubungo plaza

 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU