Sunday, February 27, 2011

Mkurugenzi wa utumishi na utawala katika ofisi ya mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali bibi Selina lyimo akiwaongoza kamati katiaka kupata chakula kusherehekea kumaliza mafunzo
 Mwenyekiti wa kamati ya fedha za serikali mh JONH CHEO (MB) akifunga mafunzo ya wiki moja jinsi ya usimamizi wa fedha za umma iliyo andaliwa na ofisi ya mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma mjini bagamoyo
John Cheyo akiwa katika picha ya pamoja na mkaguzi na mdhibitiwa fedha za serekali bwana Ludovick Utouh pamoja na mkurugenzi wa utumishi na utawala bibi Selina Lyimo baada ya kumalizika kwa mafunzo kwa kamati za hesabu za bunge jinsi ya kusimamia fedha za umma semina hiyo iliandaliwa
na ofisi ya mdhibiti na mkaguzi wa fedha za serekali ilifanyikia bagamoyo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU