Mchezo ukiendelea
aliyevaa kanzu, koti na baaraghashea ni kiongozi wa KMKM
mwazoni kulia ni kiongozi wa Baraza la Michezo, wa pili ni Mhe. Balozi wa Tanzania nchini DRC Mhe. Gordon Ngilangwa, wa mwisho kabisa mwenye shati la kitenge ni waziri wa michezo wa DRC Mhe. Nyamugabo.
Mechi ya marudiano ya kombe la CAF kati ya KMKM ya Zanzibar na DC Motema Pembe ya DRC liyochezwa katika uwanja wa Mashujaa (stade de Martys) Kinshasa katika mechi hiyo, KMKM ilifungwa mabao 2-0. Itakumbukwa kwamba katika mechi ya awali kule Zanzibar, KMKM ilifungwa magoli 4-0.
0 maoni:
Post a Comment