Wachezaji wa timu ya UZURI QUEEN wakiwa mbele na mpira wakati wa mchezo wa ligi ya KINONDONI
Wachezaji wa imu ya UZURI QUEEN wakitamba na mpira katika uwanja wa KARUME JIJINI DSM Mwenye namba kumi na moja MARY MASATU akiwapanga wachezaji wa timu ya UZURI baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 12 kwa bila katika ligi ya kupata timu tatu za kushiriki ligi mkoa wa DSM
0 maoni:
Post a Comment