Tuesday, February 22, 2011

TIGO WAKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA BAHATIKA NA TIGO

              REDEMPTUS MASANJA mwakirishi kutoka kampuni ya simu za mkononi TIGO akisoma majina ya washindi wa BAHATIKA NA TIGO wakati wa kukabidhi fedha zao walizoshinda
       MASANJA akimkabidhi PIUS MABULA akikabidhiwa mfano wa hundi ya laki tano aliyoshinda
                           MASANJA akimkabidhi mshindi CHIPO AZIZ CHIPA mshindi wa laki tano.
Mshindi wa laki tano LULU MOHAMMED akikabidhiwa mfanowa hundi 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU