Meneja uhusiano wa kampuni ya AIRTEL MUGANYIZI MUTTA akionyesha vikombe vitakavyoshindaniwa
Meneja wa uhusiano wa AIRTEL MUTTA pamoja na mratibu wa tamasha hilo MAWAZO WAZIRI.
Vyombo vya habari jumamosi wiki hii vitachuana katika bonanza liloandaliwa na kampuni ya simu za mkononi AIRTEL ikiwa ni kuwakutanisha waandishi katika michezo .
0 maoni:
Post a Comment