Friday, March 11, 2011

AWARDH TAMIM ATAMAPA KUMCHAPA ASHIRAF KUTOKA ZANZIBAR

AWARDH TAMIM akipima uzito
TAMIM akipima BP
Bondia BENSON MWAKWEMBE akipama uzito
Mabondia AWADHI TAMIM na  ASHRAF SULEIMAN kesho wanapanda ulingoni kucheza mchezo wao wa raundi kumi wa uzito wa juu  wa kuwania mkanda wa AFRIKA MASHARIKI na KATI , mchezo utakaofanyika katika ukumbi wa DDC MWENGE.

Pambano hilo litatanguliwa na michezo mingine ambapo bondia SELEMAN SAIDI atazichapa ma CHILEMBO SAID, RAMADHAN KIDO atapanda ulingoni kupigana na AMOUR MZUNGU.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU