Mratibu wa shindano la nyama choma INNOCENT SHIRIMA.
Fainali ya shindano la kuchoma nyama imepangwa kufanyika keshokutwa kwenye viwanja vya klabu ya LEADERS jijini DSM.
Mratibu wa shindano hilo INNOCENT SHIRIMA amesema tayari maandalizi yamekamili na katika shindano ambalo pia lilifanyika mkoani MBEYA
Baadhi ya Bar zilizotinga fainali ni KISUMU, MEEDA.





0 maoni:
Post a Comment