Baada ya timu ya TBC kutwaa kikombe cha netiboli katika bonaza la waandishi wa habari mwishoni mwa wiki hapa nakabidhiwa na Waziri wa habari vijana utamaduni na michezo NCHIMBI
USIKOSE KUANGALIA TBC 1 KILA SIKU NA KUSIKILIZA RADIO ZA TBC IKIWEMO TBC TAIFA,TBC FM NA TBC INTERNATIONAL KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI SIKILIZA TBC TAIFA SAA MOJA NA NUSU KILA SIKU
0 maoni:
Post a Comment