Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza
wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya gari ya promosheni ya Bahatika
na Tigo ambako washindi wawili walikabidhiwa magari yao aina ya Nissan
Hard body yenye thamani ya shs milioni 56 kila moja jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki

Mshindi wa gari aina ya Nissan Hard Body ya promosheni ya
Bahatika na Tigo, yenye thamani ya shs milioni 56 Jackline Mambo
mkazi wa Kilimanjaro akifurahi mara baada ya kukabidhiwa gari lake
katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Coco Beach, Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki

Ofisa Viwango wa Tigo, David Zakaria akikabidhi funguo ya gari
aina ya Nissan Hard Body yenye thamani ya shs milioni 56 kwa mshindi
wa promosheni ya Bahatika na Tigo, hafla iliyofanyika katika viwanja
vya Coco Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Mwanamuziki wa kizazi kipya wan kundi la Wanaume Halisi, Juma
Kassim Nature, akitoa burudani katika tamasha la Bahatika na Tigo
ambalo washindi wawili wa gari walikabidhiwa magari yao aina ya Nissan
Hard Body kweny ufukwe wa Coco Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mwanamuziki wa kizazi kipya Chidi Benz akifanya vitu vyake katika
onyesho hilo.
onyesho hilo.
Mwasiti Alimasi kushoto) akiimba moja ya nyimbo zake pamoja na
baadhi ya washirika wake katika onyesho hilo katika viwanja vya Coco
Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Joe Makini akiwachengua umati wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam
katika onyesho la Bahatika na Tigo katika viwanja vya Coco Beach
jijini Dar es Salaam.

Roma Mkatoliki naye alikuwepo katika kuhakikisha onyesho hilo
linakuwa la kukata na shoka.
linakuwa la kukata na shoka.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofurika
katika viwanja vya Coco Beach, Dar es Salaam kushuhudia onyesho la
Bahatika na Tigo ambalo washindi wawili walikabidhiwa magari yao aina
ya Nissan Hard Body.

0 maoni:
Post a Comment