Monday, March 14, 2011

WWF CHARCOAL PROJECT RUFIJI

Katibu Tawala Wilaya ya Rufiji,  Benjamini Mwombeki akimwagilia
maji baada ya kupanda mti kuzindua kampeni ya upandaji ambayo ni
sehemu ya mradi wa mkaa wa  Dar es Salaam Charcoal Project katika
kijiji cha Nyambili, Rufiji, Pwani mwishoni mwa wiki. Mradi huo
unafadhiliwa na Shirika la Hifadhi ya Mazingira Duniani (WWF)  na
Benki ya Barclays. Wa pili kushoto ni Mratibu Misitu Ukanda wa Pwani
wa WWF, Forest Landscape Coordinator) Isaac Malugu.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Nyambili, wakishiriki zoezi la
kuipanda miti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti ambayo ni
sehemu ya mradi wa mkaa wa  Dar es Salaam Charcoal Project katika
kijiji cha Nyambili, Rufiji, Pwani mwishoni mwa wiki. Mradi huo
unafadhiliwa na Shirika la Hifadhi ya Mazingira Duniani (WWF)  na
Benki ya Barclays.
  
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Bumba msoro, watumishi wa Shirika
la Hifadhi ya Mazingira Duniani wakiangalia moja ya matanuru ya
kuchomea mkaa baada ya hafla ya uzinduzi wa zoezi la kupanda miti
ambalo ni sehemu ya mradi wa mkaa wa  Dar es Salaam Charcoal Project
katika kijiji cha Nyambili, Rufiji, Pwani mwishoni mwa wiki. Mradi huo
unafadhiliwa na WWF na Benki ya Barclays.
Katibu Tawala Wilaya ya Rufiji,  Benjamini Mwombeki (katikati),
Mratibu Misitu Ukanda wa Pwani wa WWF, Forest Landscape Coordinator)
Isaac Malugu (kushoto) wakiangalia vipande vya mkaa
Mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti ambayo ni sehemu ya
mradi wa mkaa wa  Dar es Salaam Charcoal Project katika kijiji cha
Nyambili, Rufiji, Pwani mwishoni mwa wiki. Mradi huo unafadhiliwa na
Shirika la Hifadhi ya Mazingira Duniani (WWF)  na Benki ya Barclays.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU