FAMILIA YA BWANA NA BIBI KAPALASULA WA KIBAHA - PWANI, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA - TBC TUNAMPONGEZA MARIA KAPALASULA AMBAYE NI MFANYAKAZI WA TBC KWA KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA HII LEO, TUNAMTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE FURAHA NA YA KUMCHA MUNGU.
HAPPY BIRTHDAY MARIA KAPALASULA
0 maoni:
Post a Comment