Timu ya kikapu ya wanawake VIJANA.
Timu ya wanawake ya mpira wa kikapu ya MAGEREZA imeifunga timu ya VIJANA wanawake vikapu 82 kwa 67 katika mchezo uliofanyika uwanja wa ndani wa Taifa katika mashindano ya ligi ya kikapu ya mkoa wa DSM.
Mchezo huo ulingia kasoro baada ya kukosekana kwa daktari wa kuwatibu wachezaji pindi wanapoumia wakati wa mchezo.
0 maoni:
Post a Comment