Sunday, March 6, 2011

WATU KUMI WAKAMATWA KWA KULANGUA TIKETI ZA MCHEZO KATI YA SIMBA NA YANGA

POLISI mkoani Temeke inawashikilia watu kumi kwa tuhuma za kulangua tiketi wakati wa mechi ya watani wa jadi SIMBA na YANGA.

Watu hao walikamatwa wakiuza tiketi zilizotakiwa kuuzwa kwa Tsh 3,000,na kuziuza kati ya 5,000 na sh 7,000.

KHAMIS S/O KITWANA, MNYAMWEZI miaka 29 Mkazi wa KEKO alikutwa na tiketi 19 za shilingi 3000 akiuza kati ya shilingi 5000 na shilingi 7000, pia alikutwa na tiketi moja ya shilingi 5000 akiuza kati ya shilingi 8000 na shilingi 10000.

Pia walikamatwa watu tisa nao wakiwa na tiketi kumi na tatu ambao ni.

1.MANSOOR S/O ALLY, MMAKONDE, ISLAM,MFANYABIASHAR MIAKA 21 MKAZI WA MWANANYAMALA.

2.OMARY S/O MBILINYI,MNGONI,ISLAM MFANYABIASHARA MKAZI WA MWANANYAMALA.

3.SAID S/O SHABANI MNDENGELEKO HANA KAZI MIAKA 21 MKAZI WA MTONI MTONGANI.

4.ISMAIL S/O THABIT MMAKUA MIAKA 26 MKAZI WA MBAGALA

5. NYENJE S/O ABDALLAH MNGONI BIASHARA MIAKA 35 MKAZI WA PUGU.

6.MOHAMED S/O ABDALLAH MMAKONDE MIAKA 35 MKAZI WA YOMBO DOVYA.

7.LUCAS S/O ZOMBE MZARAMO MFANYABIASHARA MIAKA 31 MKAZI WA MTOMI MTONGANI.

MOHAMED S/O SAID MMAKONDE ISLAM MIAKA 26 MKAZI WA MBAGALA

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU