Monday, March 14, 2011

KUMBUKUMBU YA MWL.SARAH SIMON

  Miaka miwili sasa tangu mama yetu mpendwa Mwl Sarah Simon alipofariki na kutuachia simanzi na majonzi makubwa katika maisha yetu. Mama mpendwa alifariki Marchi 15, 2009 na leo hii watoto wako Sophia, Kaliba, Rachel, Ben na Baraka pamoja na wajukuu zako Alice, Sarah, Anna na Claude pamoja na mumeo, wadogo zako na ndugu na jamaa wote wa familia ya Simon Kapama wanakukumbuka na kukuombea upumzike kwa amani, Amin.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU