Monday, March 7, 2011

MAONYESHO YA MAVAZI YA MAMMA MIA MNAZI MMOJA

Mmoja ya vivazi vya Mustafa Hassanali ndani ya viwanja vya wazi vya Mnazi Mmoja katika onyesho kubwa la kuchangia uzazi salama nchini la tarehe 5 Machi
Nguli wa mitindo nchini,Mustafa Hassanali akiongea na wanachi na wapenzi wa mitindo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, nuyma ni baadhi ya warembo katika vivazi vya mbunifu huyo
Onyesho la wazi la Mamma MIA lililoandaliwa na mbunifu Mustafa Hassanali lilikusanya watu wa aina katika viwanja vya Mnazi Mmoja jumamosi ya tarehe 5 Machi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU