Monday, March 28, 2011

NBC YADHAMINI MKUTANO WA WAFANYABIASHARA AFRIKA KUSINI NCHINI

Mkuu wa Huduma za Kibenki wa NBC, Johan Vermaas (wa pili kushoto)
akibadilishana mawazo na Meneja Biashara wa Shirika la Ndege la
Uingereza (BA) nchini, Saada Juma (kulia) wakati wa mkutano wa jumuiya
ya wafanyabiasha wa African Kusini uliodhaminiwa na benki ya NBC
katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kushoto ni Mkuu wa Mauzo, William Khalaghe na Mkurugenzi wa Fedha wa
NBC, Riaan Van Jaarsveld
Kaimu Mkuu wa Masoko wa NBC, Arden  Kitomari (kulia)
akibadilishana mawazo na Msaidizi wa Balozi wa Afrika Kusini nchini,
Hector Mphohoni (katikati) wakati wa mkutano wa jumuiya ya
wafanyabiasha wa African Kusini  uliodhaminiwa na benki ya NBC katika
hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto
ni Meneja katika kitengo cha mikopo cha benki hiyo, Adam Mihayo.
Mkuu wa Huduma za Kibenki wa NBC, Johan Vermaas (wa pili kushoto)
akibadilishana mawazo na Meneja Biashara wa Shirika la Ndege la
Uingereza (BA) nchini, Saada Juma (kulia) wakati wa mkutano wa jumuiya
ya wafanyabiasha wa African Kusini uliodhaminiwa na benki ya NBC
katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kushoto ni Mkuu wa Mauzo, William Khalaghe na Mkurugenzi wa Fedha wa
NBC, Riaan Van Jaarsveld

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU