Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ofisa
Mtendaji Mkuu kampuni ya Future Century Ltd, Helene Masanja wakati wa
hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kuisaidia timu ya soka ya
Zanzibar, Zanzibar Heroes iliyofanyika mjini Zanzibar mwishoni mwa
wiki. Future Century ndiyo iliyoratibu hafla hiyo ya uchangishaji
ambapo Jumla ya shilingi
67,981,000 na dola za kimarekani 17,900 zilichangishwa.

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (katikati) Ofisa Mtendaji
Mkuu wa kampuni ya Future Century Ltd, Helene Masanja (kulia kwake)
wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadhamini na wageni
mashuhuri waliohudhuria hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuisaidia timu ya soka ya Zanzibar, Zanzibar Heroes iliyofanyika mjini
Zanzibar mwishoni mwa wiki. Future Century ndiyo iliyoratibu hafla
hiyo ya uchangishaji
ambapo Jumla ya shilingi
67,981,000 na dola za kimarekani 17,900 zilichangishwa.Mkuu wa kampuni ya Future Century Ltd, Helene Masanja (kulia kwake)
wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadhamini na wageni
mashuhuri waliohudhuria hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya
kuisaidia timu ya soka ya Zanzibar, Zanzibar Heroes iliyofanyika mjini
Zanzibar mwishoni mwa wiki. Future Century ndiyo iliyoratibu hafla
hiyo ya uchangishaji
ambapo Jumla ya shilingi
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (katikati) Ofisa Mtendaji
Mkuu wa kampuni ya Future Century Ltd, Helene Masanja (kulia kwake)
wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya soka za Zanzibar
Heroes, pamoja na baadhi ya wageni wengine mashuhuti wakati wa hafla
ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kuisaidia timu hiyo iliyofanyika
mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki

0 maoni:
Post a Comment